Rating
Tags
Distance

Mtandao Tigo/YAS
YAS ni kampuni ya mtandao wa huduma za simu awali ilijulikana kwa chapa ya Tigo. Chapa ya YAS imeziduliwa rasmi tarehe 26 Novemba 2024. Kampuni hiyo wakati inaingia nchini Tanzania miaka takribani 30 iliopita ilianza kwa jina la Mobitel kabla ya kui...

Mtandao Vodacom Tanzania
Vodacom ni Kampuni kubwa ya mtandao wa simu wa mawasiano nchini Tanzania.Vodacom ilianzishwa mwaka wa 1994 na kudi la Vodafone Plc kutoka Uingereza na Telkom kuroka Afrika Kusini. Kwa sasa, Vodafone linamiliki asilimia sitini na tano (65) za kampuni...

Mtandao wa Airtel Tanzania
Airtel Tanzania ilizinduliwa mnamo Oktoba 2001 na ni kampuni ya simu iliyo nchini Tanzania, yenye kutoa bidhaa na huduma nyingi katika sekta ya mawasiliano.

Mtandao Halotel tanzania
Mnamo 2015 Halotel ilianza kuungwa mkono na Viettel ya Kivietinamu. Ikiwa ni mradi wa nne barani Afrika baada ya Msumbiji, Burundi na Cameroon kwa majina tofauti. Nchini Tanzania chapa yake inajulikana kama Halotel na tayari inashughulikia zaidi ya a...

Mtandao wa simu TTCL
Shirika la Mawasiliano la Tanzania ( TTCL ), ni kampuni ya mawasiliano ya simu ya zamani na kubwa zaidi nchini Tanzania. Kampuni hiyo inatoka kwa Shirika la zamani la Posta na Mawasiliano la Tanzania mnamo 1993. TTCL ilikuwa inamilikiwa kabisa na Ser...